Swali 50: Mtu asiyeweza kufunga Ramadhaan awalishe masikini vipi?
Jibu: Asiyeweza kufunga baada ya kupita siku kumi za Ramadhaan anunue 10 kg za mchele mzuri na aipe familia ya kifakiri. Siku zingine ishirini za Ramadhaan zikipita anafanya hali kadhalika. Pindi Ramadhaan inaisha kabisa afanye vivyo hivyo.
- Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 68
- Imechapishwa: 13/06/2017
Swali 50: Mtu asiyeweza kufunga Ramadhaan awalishe masikini vipi?
Jibu: Asiyeweza kufunga baada ya kupita siku kumi za Ramadhaan anunue 10 kg za mchele mzuri na aipe familia ya kifakiri. Siku zingine ishirini za Ramadhaan zikipita anafanya hali kadhalika. Pindi Ramadhaan inaisha kabisa afanye vivyo hivyo.
Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 68
Imechapishwa: 13/06/2017
https://firqatunnajia.com/50-vipi-mtu-asiyeweza-kufunga-ramadhaan-anatakiwa-kuwalisha-masikini/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)