Swali: Swalah ya Tarawiyh ina Rak´ah ngapi?

Jibu: Tarawiyh haina idadi ya Rak´ah maalum. Pasi na kujali mtu ataswali Rak´ah kumi na moja au akaswali Rak´ah ishirini na tatu, yote mawili yanafaa na ni Sunnah.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalush-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Min Fataawaas-Swiyaam, uk. 40
  • Imechapishwa: 02/04/2022