Swali 44: Mzee asipoweza kufunga badala yake anawalishiza masikini chakula kama inavyojulikana. Chakula hichi kinatakiwa kupima kiwango gani? Inafaa kuwalishiza chakula masikini kwa kuwapa chakula cha mchana na cha jioni?
Jibu: Chakula kinatakiwa kiwe Mudd. Mudd ni sawa na gramu 600. Kwa ajili hiyo tunawaambia watu katika nchi hii watoe 1 kg kwa kuzingatia ya kwamba watu katika nchi hii wako katika hali nzuri na himdi zote zinamstahikia Allaah. Vinginevyo ni kuwa kiwango cha wajibu ni chini ya 1 kg.
- Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 62
- Imechapishwa: 13/06/2017
Swali 44: Mzee asipoweza kufunga badala yake anawalishiza masikini chakula kama inavyojulikana. Chakula hichi kinatakiwa kupima kiwango gani? Inafaa kuwalishiza chakula masikini kwa kuwapa chakula cha mchana na cha jioni?
Jibu: Chakula kinatakiwa kiwe Mudd. Mudd ni sawa na gramu 600. Kwa ajili hiyo tunawaambia watu katika nchi hii watoe 1 kg kwa kuzingatia ya kwamba watu katika nchi hii wako katika hali nzuri na himdi zote zinamstahikia Allaah. Vinginevyo ni kuwa kiwango cha wajibu ni chini ya 1 kg.
Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 62
Imechapishwa: 13/06/2017
https://firqatunnajia.com/44-ni-kiasi-gani-mzee-anatakiwa-kuwapa-masikini/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)