4 – Madhehebu ya Hanaabilah:
Imekuja katika ”al-Iqnaa´” na maelezo yake yafuatayo:
”Inasihi kupangusa juu ya soksi nene ya sufu au ya kitu kingine, hata ikiwa haina ngozi wala soli, au ikiwa imetengenezwa kwa vitambaa muda wa kuwa inawezekana kutembea nayo… Hadiyth ya al-Mughiyrah kwamba ”Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipaka juu ya soksi na viatu” inafahamisha kwamba soli ya soksi hizo haikuwa ya ngozi. Kwa sababu lau zingekuwa ya ngozi asingetaja viatu, kwani haisemwi kwamab alipaka juu ya soksi zake za ngozi na viatu vyake.”
- Muhusika: ´Allaamah Muhammad Jamaal-ud-Diyn bin Muhammad al-Qaasimiy (afk. 1332)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Mash ´alaal-Jawrabayn, uk. 67-68
- Imechapishwa: 16/04/2026
4 – Madhehebu ya Hanaabilah:
Imekuja katika ”al-Iqnaa´” na maelezo yake yafuatayo:
”Inasihi kupangusa juu ya soksi nene ya sufu au ya kitu kingine, hata ikiwa haina ngozi wala soli, au ikiwa imetengenezwa kwa vitambaa muda wa kuwa inawezekana kutembea nayo… Hadiyth ya al-Mughiyrah kwamba ”Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipaka juu ya soksi na viatu” inafahamisha kwamba soli ya soksi hizo haikuwa ya ngozi. Kwa sababu lau zingekuwa ya ngozi asingetaja viatu, kwani haisemwi kwamab alipaka juu ya soksi zake za ngozi na viatu vyake.”
Muhusika: ´Allaamah Muhammad Jamaal-ud-Diyn bin Muhammad al-Qaasimiy (afk. 1332)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Mash ´alaal-Jawrabayn, uk. 67-68
Imechapishwa: 16/04/2026
https://firqatunnajia.com/42-madhehebu-ya-hanaabilah-kuhusu-kupangusa-juu-ya-soksi/