139-
اللّهُـمَّ لا سَـهْلَ إِلاّ ما جَعَلـتَهُ سَهـلاً، وَأَنْتَ تَجْـعَلُ الْحَـزَنَ إِذا شِـئْتَ سَهـْلاً
”Ee Allaah! Hakuna jepesi isipokuwa kile ulichokifanya chepesi, Nawe unalifanya gumu jepesi ukitaka.”[1]
[1] Ibn Hibbaan katika ”as-Swahiyh” yake nambari. (2427- Mawaarid) na Ibn-us-Sunniy nambari. (351). Haafidhw amesema:
“Hadiyth hii ni Swahiyh.”
Pia ameisahihisha ‘Abdul-Qaadir al-Arnaauutw katika “Takhriyj-ul-Adhkaar” ya an-Nawawiy, uk. 106.
- Muhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Huswn-ul-Muslim
- Imechapishwa: 29/04/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket