4- Ni wajibu kwa kila muislamu asipelekwe wimbi la uvumi wa uongo. Kwa sababu baadhi ya watu katika hali kama hizi wana mazowea ya kueneza uvumi usiyokuwa na usahihi wala ukweli wowote. Matokeo yake wanaeneza kati ya watu woga, khofu na mashaka yasiyokuwa na msingi wowote. Kwa hiyo muislamu hatakiwi kutilia manani mfano wa mambo kama hayo na matokeo yake akaja kuteleza na ikaharibika imani yake, yakini yake na kumtegemea kwake Allaah.
- Muhusika: Shaykh ´Abdur-Razzaaq bin ´Abdil-Muhsin al-´Abbaad
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://ar.islamway.net/article/80439/%D9%81%D9%8A%D8%B1%D9%88%D8%B3-%D9%83%D9%88%D8%B1%D9%88%D9%86%D8%A7-%D8%A7%D9%84%D8%AC%D8%AF%D9%8A%D8%AF-%D9%81%D9%8A%D8%B1%D9%88%D8%B3-%D8%A7%D9%84%D8%B5%D9%8A%D9%86
- Imechapishwa: 11/03/2020
4- Ni wajibu kwa kila muislamu asipelekwe wimbi la uvumi wa uongo. Kwa sababu baadhi ya watu katika hali kama hizi wana mazowea ya kueneza uvumi usiyokuwa na usahihi wala ukweli wowote. Matokeo yake wanaeneza kati ya watu woga, khofu na mashaka yasiyokuwa na msingi wowote. Kwa hiyo muislamu hatakiwi kutilia manani mfano wa mambo kama hayo na matokeo yake akaja kuteleza na ikaharibika imani yake, yakini yake na kumtegemea kwake Allaah.
Muhusika: Shaykh ´Abdur-Razzaaq bin ´Abdil-Muhsin al-´Abbaad
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://ar.islamway.net/article/80439/%D9%81%D9%8A%D8%B1%D9%88%D8%B3-%D9%83%D9%88%D8%B1%D9%88%D9%86%D8%A7-%D8%A7%D9%84%D8%AC%D8%AF%D9%8A%D8%AF-%D9%81%D9%8A%D8%B1%D9%88%D8%B3-%D8%A7%D9%84%D8%B5%D9%8A%D9%86
Imechapishwa: 11/03/2020
https://firqatunnajia.com/4-virusi-vya-corona-usieneze-umbea-usiyokuwa-na-usahihi/