23 – Mwanaume kusalimiana kwa mikono na wanaume wanaoweza kumuoa
Miongoni mwa makosa yanayokiuka Shari´ah ni mwanamke kumsalimia mwanaume asiye Mahram zake kwa mkono, kwa sababu kitendo hicho hakijuzu. ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) amesema:
“Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiwapa kiapo cha utii wanawake kwa maneno” na ”Mkono wa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) haujawahi kugusa mkono wa mwanamke yeyote isipokuwa yule mwanamke anayemmiliki.”[1]
Hivyo mkono wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) haikupatapo kugusa mkono wa mwanamke ambaye si katika Mahram zake. Hapana tofauti iwapo utapeana naye mkono nyuma ya kizuizi au bila ya kizuizi kutokana na kuenea kwa dalili.
[1] al-Bukhaariy na Muslim.
- Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 33
- Imechapishwa: 20/03/2026
23 – Mwanaume kusalimiana kwa mikono na wanaume wanaoweza kumuoa
Miongoni mwa makosa yanayokiuka Shari´ah ni mwanamke kumsalimia mwanaume asiye Mahram zake kwa mkono, kwa sababu kitendo hicho hakijuzu. ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) amesema:
“Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiwapa kiapo cha utii wanawake kwa maneno” na ”Mkono wa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) haujawahi kugusa mkono wa mwanamke yeyote isipokuwa yule mwanamke anayemmiliki.”[1]
Hivyo mkono wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) haikupatapo kugusa mkono wa mwanamke ambaye si katika Mahram zake. Hapana tofauti iwapo utapeana naye mkono nyuma ya kizuizi au bila ya kizuizi kutokana na kuenea kwa dalili.
[1] al-Bukhaariy na Muslim.
Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 33
Imechapishwa: 20/03/2026
https://firqatunnajia.com/39-mwanamke-kusalimiana-na-wanaume-kwa-mkono/