42. Du´aa ya wasiwasi katika swalah na kisomo

  Download

138-

أَعُوذُ بِاللَّهِ مِنَ الشَّيْطانِ الرَّجِيْمِ

“Najilinda kwa Allaah kutokamana na shaytwaan aliyefukuzwa mbali na rehema za Allaah.”

Kisha uteme cheche za mate kushotoni mwako mara tatu[1].

[1] Muslim (04/1729) kupitia kwa ´Uthmaan bin Abiy-´Aasw (Radhiya Allaahu ´anhum) ambaye amesema: ”Nilifanya hivo na Allaah akaniondoshea jambo hilo.”

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 29/04/2020