Download

136-

اللّهُـمَّ اكْفِـني بِحَلالِـكَ عَنْ حَـرامِـك، وَأَغْنِـني بِفَضْـلِكِ عَمَّـنْ سِـواك

”Ee Allaah! Nitosheleze mimi na halali Yako kutokamana na haramu Yako na unitosheleze kwa fadhilah Zako nisiwahitaji wengine asiyekuwa Wewe.”[1]

137-

اللّهُـمَّ إِنِّي أَعْوذُ بِكَ مِنَ الهَـمِّ والْحَزَنِ، والعًجْـزِ والكَسَلِ والبُخْـلِ والجُـبْنِ، وضَلْـعِ الـدَّيْنِ وغَلَبَـةِ الرِّجال

”Ee Allaah! Hakika mimi najilinda Kwako kutokamana na hamu na huzuni, kushindwa na uvivu, ubakhili na woga, uzito wa deni na kushindwa na watu.”[2]

[1] at-Tirmidhiy (05/560). Tazama “Swahiyh-ut-Tirmidhiy (03/180).

[2] al-Bukhaariy (07/158). Imekwishatangulia katika uk. 83, nambari (121).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 29/04/2020