35- Ahmad bin Muhammad bin Ismaa´iyl al-Aadamiy ametuhadithia: al-Fadhwl bin Sahl al-A´raj ametuhadithia: Yahyaa bin Ishaaq Abu Zakariyyaa as-Saylahiyniy ametuhadithia: Ibn Lahiy´ah ametuhadithia, kutoka kwa Abuz-Zubayr ambaye amesema: Nilimuuliza Jaabir kuhusu Swiraat ambapo akasema: Nimemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
“Atajionyesha kwao hali akicheka.”[1]
[1] Naqdhu ´Uthmaan bin Sa´iyd ´alaa al-Mariysiy al-Jahmiy al-´Aniyd, uk. 96
- Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-us-Swifaat, uk. 75-76
- Imechapishwa: 02/03/2018
35- Ahmad bin Muhammad bin Ismaa´iyl al-Aadamiy ametuhadithia: al-Fadhwl bin Sahl al-A´raj ametuhadithia: Yahyaa bin Ishaaq Abu Zakariyyaa as-Saylahiyniy ametuhadithia: Ibn Lahiy´ah ametuhadithia, kutoka kwa Abuz-Zubayr ambaye amesema: Nilimuuliza Jaabir kuhusu Swiraat ambapo akasema: Nimemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
“Atajionyesha kwao hali akicheka.”[1]
[1] Naqdhu ´Uthmaan bin Sa´iyd ´alaa al-Mariysiy al-Jahmiy al-´Aniyd, uk. 96
Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-us-Swifaat, uk. 75-76
Imechapishwa: 02/03/2018
https://firqatunnajia.com/36-dalili-juu-ya-kucheka-kwa-allaah-4/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)