33 – Ibn ´Abbaas (Radhiya Allaahu ´anhumaa) amesimulia kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Muuliwaji atakuja na muuaji siku ya Qiyaamah. Atakuwa amekishika kichwa chake mkononi mwake na damu ikitoka kwenye mishipa yake, aseme ”Ee Mola wangu! Aliniua!” mpaka asogezwe karibu Naye kwenye ´Arshi.”[1]
[1] Swahiyh. Ahmad na wengineo wameipokea kwa cheni mbili Swahiyh kutoka kwake. Nimeikagua katika “al-Mushkaah” (3465).
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk 96-97
- Imechapishwa: 24/06/2024
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
33 – Ibn ´Abbaas (Radhiya Allaahu ´anhumaa) amesimulia kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Muuliwaji atakuja na muuaji siku ya Qiyaamah. Atakuwa amekishika kichwa chake mkononi mwake na damu ikitoka kwenye mishipa yake, aseme ”Ee Mola wangu! Aliniua!” mpaka asogezwe karibu Naye kwenye ´Arshi.”[1]
[1] Swahiyh. Ahmad na wengineo wameipokea kwa cheni mbili Swahiyh kutoka kwake. Nimeikagua katika “al-Mushkaah” (3465).
Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk 96-97
Imechapishwa: 24/06/2024
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/35-muuliwaji-na-muuaji-siku-ya-qiyaamah/