33- Twaahir bin Muhammad al-Maqdisiy ametukhabarisha: Muhammad bin al-Husayn ametuhadithia: al-Qaasim bin Abiyl-Mundhir ametuhadithia: ´Aliy bin Ibraahiym bin Salamah ametuhadithia: Muhammad bin Yaziyd ametuhadithia: Bakr bin Khalaf ametuhadithia: Yahyaa bin Sa´iyd alinihadithia, kutoka kwa Muusa bin Abiy ´Iysaa at-Twahhaan, kutoka kwa ´Awn bin ´Abdillaah, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa nduguye, kutoka kwa an-Nu´maan bin Bashiyr ambaye ameeleza kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Miongoni mwa matamshi yenu ya kumtukuza Allaah ni pamoja na “Tasbiyh, Tahliyl na Tahmiyd. Vimeizunguka ´Arshi, yanatoa sauti kama bin na kumtaja yule mwenye kuyatamka. Hapendi mmoja wenu atajwe kwa ajili ya hilo?”[1]
[1] Ibn Maajah (3809) na al-Haakim (1/503) ambaye amesema:
”Hadiyth iko kwa mujibu wa masharti ya Muslim.”
Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika ”Swahiyh Sunan Abiy Daawuud” (3086).
- Mhusika: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ithbaatu Swifat-il-´Uluww, uk. 127
- Imechapishwa: 12/06/2018
33- Twaahir bin Muhammad al-Maqdisiy ametukhabarisha: Muhammad bin al-Husayn ametuhadithia: al-Qaasim bin Abiyl-Mundhir ametuhadithia: ´Aliy bin Ibraahiym bin Salamah ametuhadithia: Muhammad bin Yaziyd ametuhadithia: Bakr bin Khalaf ametuhadithia: Yahyaa bin Sa´iyd alinihadithia, kutoka kwa Muusa bin Abiy ´Iysaa at-Twahhaan, kutoka kwa ´Awn bin ´Abdillaah, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa nduguye, kutoka kwa an-Nu´maan bin Bashiyr ambaye ameeleza kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Miongoni mwa matamshi yenu ya kumtukuza Allaah ni pamoja na “Tasbiyh, Tahliyl na Tahmiyd. Vimeizunguka ´Arshi, yanatoa sauti kama bin na kumtaja yule mwenye kuyatamka. Hapendi mmoja wenu atajwe kwa ajili ya hilo?”[1]
[1] Ibn Maajah (3809) na al-Haakim (1/503) ambaye amesema:
”Hadiyth iko kwa mujibu wa masharti ya Muslim.”
Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika ”Swahiyh Sunan Abiy Daawuud” (3086).
Mhusika: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ithbaatu Swifat-il-´Uluww, uk. 127
Imechapishwa: 12/06/2018
https://firqatunnajia.com/35-dalili-ya-thelathini-na-tatu-kutoka-katika-sunnah-kwamba-allaah-yuko-juu-ya-viumbe/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)