178 – Husayn bin Hasan ametuhadithia: Ibn-ul-Mubaarak ametukhabarisha: Ma´mar na Yuunus wametukhabarisha, kutoka kwa az-Zuhriy: ´Urwah bin az-Zubayr amenikhabarisha kwamba al-Miswar bin Makhramah amemukhabarisha, kutoka´Amr bin ´Awf, ambaye alikuwa mmoja katika wale waliopigana vita vya Badr, aliyesimulia kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Sio umaskini ninaochelea juu yenu. Lakini ninachokukhofieni ni kwamba mtawepesishiwa maisha ya dunia kama yalivyowepesishwa kwa wale waliokuwa wakiishi kabla yenu, ambapo mshindane kwayo, kama walivyoshindana kwayo, na yakuangamizeni, kama yalivyowaangamiza wao.”[1]
179 – ´Abdullaah bin Shubayb ametuhadithia: Muhammad bin ´Ubaydillaah ametukhabarisha: Zakariyyaa bin Mandhuur amenihadithia, kutoka kwa Zayd bin Aslam, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Mu´aadh bin Jabal, ambaye ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Ni kama ninakutazama mkishindana maisha ya dunia.”
[1] al-Bukhaariy (3158) na Muslim (2961).
- Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 44-45
- Imechapishwa: 08/07/2025
178 – Husayn bin Hasan ametuhadithia: Ibn-ul-Mubaarak ametukhabarisha: Ma´mar na Yuunus wametukhabarisha, kutoka kwa az-Zuhriy: ´Urwah bin az-Zubayr amenikhabarisha kwamba al-Miswar bin Makhramah amemukhabarisha, kutoka´Amr bin ´Awf, ambaye alikuwa mmoja katika wale waliopigana vita vya Badr, aliyesimulia kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Sio umaskini ninaochelea juu yenu. Lakini ninachokukhofieni ni kwamba mtawepesishiwa maisha ya dunia kama yalivyowepesishwa kwa wale waliokuwa wakiishi kabla yenu, ambapo mshindane kwayo, kama walivyoshindana kwayo, na yakuangamizeni, kama yalivyowaangamiza wao.”[1]
179 – ´Abdullaah bin Shubayb ametuhadithia: Muhammad bin ´Ubaydillaah ametukhabarisha: Zakariyyaa bin Mandhuur amenihadithia, kutoka kwa Zayd bin Aslam, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Mu´aadh bin Jabal, ambaye ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Ni kama ninakutazama mkishindana maisha ya dunia.”
[1] al-Bukhaariy (3158) na Muslim (2961).
Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 44-45
Imechapishwa: 08/07/2025
https://firqatunnajia.com/34-kuwepesishiwa-maisha-ya-dunia-ndio-khatari-kubwa/