33- Yahyaa bin Muhammad bin Swaa´id ametuhadithia: Muhammad bin Haaruun Abu Nashiytw ametuhadithia: al-Mughiyrah ´Abdul-Qudduus bin al-Hajjaaj ametuhadithia: ´Abdur-Rahmaan bin Yaziyd bin Tamiym ametuhadithia, kutoka kwa az-Zuhriy, kutoka wa Sa´iyd bin al-Musayyab, kutoka kwa Abu Hurayrah aliyeeleza kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mola wetu (´Azza wa Jall) anawacheka watu wawili. Mmoja kamuua mwenzake na wote wawili wakaingia Peponi.”[1]
´Abdur-Rahmaan amesema:
“az-Zuhriy aliulizwa juu ya tafsiri ya hii. Akasema: “Mshirikina kamuua muislamu, kisha akaingia katika Uislamu ambapo akafa na kuingia Peponi.”
[1] al-Bukhaariy (2826), Muslim (1890) na Ibn Maajah (191).
- Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-us-Swifaat, uk. 73-74
- Imechapishwa: 02/03/2018
33- Yahyaa bin Muhammad bin Swaa´id ametuhadithia: Muhammad bin Haaruun Abu Nashiytw ametuhadithia: al-Mughiyrah ´Abdul-Qudduus bin al-Hajjaaj ametuhadithia: ´Abdur-Rahmaan bin Yaziyd bin Tamiym ametuhadithia, kutoka kwa az-Zuhriy, kutoka wa Sa´iyd bin al-Musayyab, kutoka kwa Abu Hurayrah aliyeeleza kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mola wetu (´Azza wa Jall) anawacheka watu wawili. Mmoja kamuua mwenzake na wote wawili wakaingia Peponi.”[1]
´Abdur-Rahmaan amesema:
“az-Zuhriy aliulizwa juu ya tafsiri ya hii. Akasema: “Mshirikina kamuua muislamu, kisha akaingia katika Uislamu ambapo akafa na kuingia Peponi.”
[1] al-Bukhaariy (2826), Muslim (1890) na Ibn Maajah (191).
Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-us-Swifaat, uk. 73-74
Imechapishwa: 02/03/2018
https://firqatunnajia.com/34-dalili-juu-ya-kucheka-kwa-allaah-2/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)