184 – ´Aliy bin al-Ja´d ametuhadithia: Abul-Mughiyrah al-Ahmasiy ametuhadithia, kutoka kwa ´Abdur-Rahmaan bin Ishaaq, kutoka kwa bwana mmoja kutoka katika Quraysh, aliyesimulia ya kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Hakika tabia njema huyeyusha makosa kama jua linavyoyeyusha barafu. Hakika tabia mbaya huharibu matendo kama siki inavyoharibu asali.”
185 – Muhammad bin al-Husayn ametuhadithia: Muhammad bin Harb al-Makkiy ametuhadithia: Layth bin Sa´d ametuhadithia, kutoka kwa Khaalid bin Yaziyd, kutoka kwa Sa´iyd bin Abiy Hilaal, ambaye amesema:
”Kundi la watu walitaka kusafiri wakamtembelea ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) wakasema: ”Ee Mama wa waumini! Nani atatuongoza katika swalah?” Akasema: ”Aliye msomi zaidi wa Kitabu cha Allaah.” Wakasema: ”Sisi sote tuko sawa katika usomaji.” Akasema: ”Basi aliye na elimu zaidi ya Sunnah.” Wakasema: ”Sisi sote tuko sawa katika Sunnah.” Akasema: ”Basi aliye tangulia zaidi katika Hijrah.” Wakasema: ”Sisi sote tuko sawa katika Hijrah. Akasema: ”Basi aliye mzuri zaidi wa uso – huenda akawa ndiye aliye bora zaidi wa tabia.”
186 – Muhammad bin al-Husayn amenihadithia: Daawuuud bin al-Muhabbar amenihadithia, kutoka kwa Hasan, ambaye amesema:
”al-Hasan aliulizwa kuhusu uzuri wa tabia, akasema: ”Ukarimu, kutoa na uvumilivu.”
187 – Muhammad bin al-Husayn amenihadithia: al-Husayn bin ´Aliy al-Ju´fiy ametuhadithia, kutoka kwa Hilaal bin Ayyuub, ambaye ameeleza:
”ash-Sha´biy aliulizwa kuhusu uzuri wa tabia, akasema: ”Kutoa, kutoa zawadi na uso wenye bashasha. ” ash-Sha´biy alikuwa namna hiyo.”
188 – ´Uqbah bin Mukram al-´Ammiy amenihadithia: Ismaa´iyl bin Hakiym ametuhadithia, kutoka kwa al-Fadhwl bin ´Iysaa, kutoka kwa Muhammad bin al-Munkadir, kutoka kwa Jaabir, ambaye ameeleza ya kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Fikira za mikosi ni tabia mbaya.”[1]
189 – Muhammad bin Yahyaa bin Abiy Haatim ametuhadithia: Muhammad ibn Musw´ab ametuhadithia: Abu Bakr bin Abiy Maryam ametuhadithia, kutoka kwa Habiyb bin ´Ubayd ar-Rahabiy, kutoka kwa ´Aaishah, ambaye ameeleza ya kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Fikira za mikosi ni tabia mbaya.”[2]
190 – Muhammad bin ´Abdillaah al-Makhramiy ametuhadithia: Aswad bin Saalim ametuhadithia, kutoka kwa ´Abdullaah bin Idriys, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Abu Hurayrah, ambaye amesimulia ya kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Hakika nyinyi hamuwezi kuwatosheleza watu kwa mali zenu, lakini kuwatosheleza kwa nyuso zilizo na furaha na tabia njema.”[3]
191 – Yahyaa bin Habîb bin ´Arabiy ametuhadithia: Khaalid bin al-Haarith amenihadithia, kutoka kwa Ibn ´Awn, kutoka kwa Muhammad, aliyetuhadithia:
”Tabia njema ni msaada juu ya dini.”
[1] Dhaifu kwa mijibu wa al-Albaaniy katika “Dhwa´iyf-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb” (1609).
[2] Dhaifu kwa mujibuwa al-Albaaniy katika “Dhwa´iyf-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb” (1610).
[3] al-Haakim (1/124), ambaye ameisahihisha. Nzuri kupitia zingine kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb” (2661).
- Muhusika: Imaam Abu Bakr ´Abdullaah bin Muhammad bin Abiyd-Dunyaa (afk. 281)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-ul-Khumuul wat-Tawaadhwu´, uk. 233-240
- Imechapishwa: 25/03/2026

Muhusika: Imaam Abu Bakr ´Abdullaah bin Muhammad bin Abiyd-Dunyaa (afk. 281)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-ul-Khumuul wat-Tawaadhwu´, uk. 233-240
Imechapishwa: 25/03/2026
https://firqatunnajia.com/27-tabia-njema-haigharimu-kitu/