Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah juu ya watu nyumbani kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hawachupi mipaka, kama wanavofanya Raafidhwah, na wala hawawanasibishii uadui, kama wanavofanya Nawaaswib. Wako kati na kati baina ya pande zote mbili. Wanatambua haki zao kwa sababu ya ule ukaribu wao na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Lakini hawazivuki nafasi zao.
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Manhaj Ahl-is-Sunnah wal-Jamaa´ah fiy-´Aqiydah wal-´Amal, uk. 38
- Imechapishwa: 21/08/2019
Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah juu ya watu nyumbani kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hawachupi mipaka, kama wanavofanya Raafidhwah, na wala hawawanasibishii uadui, kama wanavofanya Nawaaswib. Wako kati na kati baina ya pande zote mbili. Wanatambua haki zao kwa sababu ya ule ukaribu wao na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Lakini hawazivuki nafasi zao.
Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Manhaj Ahl-is-Sunnah wal-Jamaa´ah fiy-´Aqiydah wal-´Amal, uk. 38
Imechapishwa: 21/08/2019
https://firqatunnajia.com/27-si-wenye-kuchupa-mipaka-kama-wanavofanya-raafidhwah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)