Swali: Ni ipi hukumu ya kutumia sprei na mpira unaoingizwa ndani ya tumbo mchana wa Ramadhaan?
Jibu: Sprei haifunguzi. Kuhusu mpira unafunguza kutokana na vitu vya majimaji ambavyo huingiza tumboni mwa mtu. Kwa hivyo unafunguza.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalush-Shaykh
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Min Fataawaas-Swiyaam, uk. 25
- Imechapishwa: 24/03/2022
Swali: Ni ipi hukumu ya kutumia sprei na mpira unaoingizwa ndani ya tumbo mchana wa Ramadhaan?
Jibu: Sprei haifunguzi. Kuhusu mpira unafunguza kutokana na vitu vya majimaji ambavyo huingiza tumboni mwa mtu. Kwa hivyo unafunguza.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalush-Shaykh
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Min Fataawaas-Swiyaam, uk. 25
Imechapishwa: 24/03/2022
https://firqatunnajia.com/25-sprei-na-mpira-unaoingizwa-tumboni-wakati-wa-swawm/