22- Muhammad bin ´Aliy al-Batiy ametuhadithia: Muhammad bin Ishaaq ametuhadithia: Muhammad ametuhadithia: ´Uthmaan bin Sa´iyd ad-Daarimiy ametuhadithia: Sulaymaan bin Harb ametuhadithia: Hammaad bin Zayd ametuhadithia, kutoka kwa Matwar al-Warraaq, kutoka kwa ´Abdullaah bin Buraydah, kutoka kwa Yahyaa bin Ma´mar na Humayd bin ´Abdir-Rahmaan, kutoka kwa ´Abdullaah bin ´Umar: ´Umar bin al-Khattwaab (Radhiya Allaahu ´anh) amenieleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema…
23- Ahmad bin Sulaymaan ametuhadithia: Muhammad bin Quraysh ametuhadithia: ´Uthmaan bin Sa´iyd ad-Daarimiy ametuhadithia: al-Qa´nabiy ametuhadithia kupitia yale aliyomsomea Maalik na Yahyaa bin Bukayr, kutoka kwa Maalik, kutoka kwa Abuuz-Zinaad, kutoka kwa al-A´raj, kutoka kwa Abuu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh)…
24- ´Aliy bin Muhammad al-Faarisiy ametuhadithia: ´Aliy bin ´Iysaa ametuhadithia: al-Hasan bin Sa´iyd ametuhadithia: Abuu Bakr bin Abiy Shaybah ametuhadithia: Shariyk ametuhadithia, kutoka kwa Abuu Haaruun (´Imaarah bin Juwayn al-´Abdiy), kutoka kwa Abuu Sa´iyd (Radhiya Allaahu ´anh) aliyesimulia kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Aadam na Muusaa (´alayhimaas-Swalaatu was-Salaam) walihojiana ambapo Muusaa akamwambia: “Wewe ndiye yule ambaye Allaah alikuumba kwa mkono Wake na akakufanya kukaa katika Pepo Yake.”
Matamshi ni ya Abuu Sa´iyd (Radhiya Allaahu ´anh).
- Mhusika: Imaam Abu Ismaa´iyl ´Abdullaah bin Muhammad al-Answaariy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Arba´uun fiy Dalaa-il-it-Tawhiyd, uk. 52
- Imechapishwa: 28/01/2017
22- Muhammad bin ´Aliy al-Batiy ametuhadithia: Muhammad bin Ishaaq ametuhadithia: Muhammad ametuhadithia: ´Uthmaan bin Sa´iyd ad-Daarimiy ametuhadithia: Sulaymaan bin Harb ametuhadithia: Hammaad bin Zayd ametuhadithia, kutoka kwa Matwar al-Warraaq, kutoka kwa ´Abdullaah bin Buraydah, kutoka kwa Yahyaa bin Ma´mar na Humayd bin ´Abdir-Rahmaan, kutoka kwa ´Abdullaah bin ´Umar: ´Umar bin al-Khattwaab (Radhiya Allaahu ´anh) amenieleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema…
23- Ahmad bin Sulaymaan ametuhadithia: Muhammad bin Quraysh ametuhadithia: ´Uthmaan bin Sa´iyd ad-Daarimiy ametuhadithia: al-Qa´nabiy ametuhadithia kupitia yale aliyomsomea Maalik na Yahyaa bin Bukayr, kutoka kwa Maalik, kutoka kwa Abuuz-Zinaad, kutoka kwa al-A´raj, kutoka kwa Abuu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh)…
24- ´Aliy bin Muhammad al-Faarisiy ametuhadithia: ´Aliy bin ´Iysaa ametuhadithia: al-Hasan bin Sa´iyd ametuhadithia: Abuu Bakr bin Abiy Shaybah ametuhadithia: Shariyk ametuhadithia, kutoka kwa Abuu Haaruun (´Imaarah bin Juwayn al-´Abdiy), kutoka kwa Abuu Sa´iyd (Radhiya Allaahu ´anh) aliyesimulia kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Aadam na Muusaa (´alayhimaas-Swalaatu was-Salaam) walihojiana ambapo Muusaa akamwambia: “Wewe ndiye yule ambaye Allaah alikuumba kwa mkono Wake na akakufanya kukaa katika Pepo Yake.”
Matamshi ni ya Abuu Sa´iyd (Radhiya Allaahu ´anh).
Mhusika: Imaam Abu Ismaa´iyl ´Abdullaah bin Muhammad al-Answaariy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Arba´uun fiy Dalaa-il-it-Tawhiyd, uk. 52
Imechapishwa: 28/01/2017
https://firqatunnajia.com/22-dalili-ya-kwamba-allaah-alimuumba-aadam-kwa-mikono-yake/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)