Abu Ja´far at-Twahaawiy (Rahimahu Allaah) amesema:
17- Sifa Zake hazikuongezeka kutokana nao.
MAELEZO
Hii ina maana kwamba Allaah hakuwa ni Muumbaji baada ya kuumba viumbe. Bali Yeye alikuwa siku zote Muumbaji, haina mwanzo. Ama uumbaji Wake ni wenye kujijadidi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Ta´liyqaat al-Mukhtaswarah ´alaal-´Aqiydah at-Twahaawiyyah, uk. 43
- Imechapishwa: 17/09/2019
Abu Ja´far at-Twahaawiy (Rahimahu Allaah) amesema:
17- Sifa Zake hazikuongezeka kutokana nao.
MAELEZO
Hii ina maana kwamba Allaah hakuwa ni Muumbaji baada ya kuumba viumbe. Bali Yeye alikuwa siku zote Muumbaji, haina mwanzo. Ama uumbaji Wake ni wenye kujijadidi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Ta´liyqaat al-Mukhtaswarah ´alaal-´Aqiydah at-Twahaawiyyah, uk. 43
Imechapishwa: 17/09/2019
https://firqatunnajia.com/22-allaah-alikuwa-ni-muumbaji-kabla-ya-kuumba/