15. Hadiyth “Hakika kila swalah inafuta makosa yaliyo mbele yake… “

365 – Abu Ayyuub (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

إنّ كلَّ صلاةٍ تَحُطُّ ما بين يديها من خطيئةٍ

“Hakika kila swalah inafuta makosa yaliyo mbele yake.”[1]

Ameipokea Ahmad kwa cheni ya wapokezi nzuri.

[1] Nzuri na Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/269)
  • Imechapishwa: 23/08/2023
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy