14- Muhammad bin ´Abdillaah ametuhadithia: Ishaaq bin al-Hasan ametuhadithia: Abu Salamah ametuhadithia: Hammaad ametuhadithia, kutoka kwa ´Atwaa´ bin as-Saa-ib, kutoka kwa ´Ubaydullaah bin ´Abdillaah bin ´Utbah, kutoka kwa Abu Sa´iyd al-Khudriy ambaye ameeleza ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Pepo na Moto vilivutana ambapo Moto ukasema: “Ndani yangu wanaingia wakandamizaji, wafalme na watukufu.” Pepo nayo ikasema: “Ndani yangu wanaingia watu mafukara, wadhaifu na masikini.” Ndipo Allaah akasema kuuambia Moto: “Wewe ni adhabu Yangu ambayo namsibu yule Ninayemtaka.” Akasema kuiambia Pepo: “Wewe ni huruma Yangu inayokienea kila kitu. Kila mmoja wenu atajazwa.” Kuhusu Moto kutatupwa ndani yake na utasema:
هَلْ مِن مَّزِيدٍ
“Hakuna zaidi?”[1]
mara tatu mpaka pale (Tabaarak wa Ta´ala) auendee na kuweka unyayo Wake juu yake. Hapo ndipo utajikusanya na kusema: “Tosha, tosha.”
[1] 50:30
- Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-us-Swifaat, uk. 48-49
- Imechapishwa: 05/11/2017
14- Muhammad bin ´Abdillaah ametuhadithia: Ishaaq bin al-Hasan ametuhadithia: Abu Salamah ametuhadithia: Hammaad ametuhadithia, kutoka kwa ´Atwaa´ bin as-Saa-ib, kutoka kwa ´Ubaydullaah bin ´Abdillaah bin ´Utbah, kutoka kwa Abu Sa´iyd al-Khudriy ambaye ameeleza ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Pepo na Moto vilivutana ambapo Moto ukasema: “Ndani yangu wanaingia wakandamizaji, wafalme na watukufu.” Pepo nayo ikasema: “Ndani yangu wanaingia watu mafukara, wadhaifu na masikini.” Ndipo Allaah akasema kuuambia Moto: “Wewe ni adhabu Yangu ambayo namsibu yule Ninayemtaka.” Akasema kuiambia Pepo: “Wewe ni huruma Yangu inayokienea kila kitu. Kila mmoja wenu atajazwa.” Kuhusu Moto kutatupwa ndani yake na utasema:
هَلْ مِن مَّزِيدٍ
“Hakuna zaidi?”[1]
mara tatu mpaka pale (Tabaarak wa Ta´ala) auendee na kuweka unyayo Wake juu yake. Hapo ndipo utajikusanya na kusema: “Tosha, tosha.”
[1] 50:30
Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-us-Swifaat, uk. 48-49
Imechapishwa: 05/11/2017
https://firqatunnajia.com/14-dalili-juu-ya-mguu-wa-allaah-14/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)