Miongoni mwa hayo ni kwamba kushiba katika kula ni ruhusa isiyokuwa haramu. Hivyo basi haifai kwa mja akapitiliza katika hili kiasi cha kufikia kushiba kupita kiasi na kujaza tumbo, akaanza kutafuta kitu cha kumuhamisha chakula. Hivyo hima yake ikawa ni tumbo lake kabla ya kula na baada yake. Bali inafaa kwa mja kuwa na hali ya njaa na kushiba na aache chakula huku akiwa anakitamani. Kipimo cha hilo ni maneno yake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Theluthi kwa ajili ya chakula chake, theluthi kwa ajili ya kinywaji chake na theluthi kwa ajili ya pumzi yake.”
Basi asivifanye vile vipimo vitatu vyote kwa ajili ya chakula peke yake.
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Abiy Bakr bin Qayyim-il-Jawziyyah (afk. 751)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Waabil as-Swayyib wa Raafi´-ul-Kalim at-Twayyib, uk. 28
- Imechapishwa: 03/08/2025
Miongoni mwa hayo ni kwamba kushiba katika kula ni ruhusa isiyokuwa haramu. Hivyo basi haifai kwa mja akapitiliza katika hili kiasi cha kufikia kushiba kupita kiasi na kujaza tumbo, akaanza kutafuta kitu cha kumuhamisha chakula. Hivyo hima yake ikawa ni tumbo lake kabla ya kula na baada yake. Bali inafaa kwa mja kuwa na hali ya njaa na kushiba na aache chakula huku akiwa anakitamani. Kipimo cha hilo ni maneno yake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Theluthi kwa ajili ya chakula chake, theluthi kwa ajili ya kinywaji chake na theluthi kwa ajili ya pumzi yake.”
Basi asivifanye vile vipimo vitatu vyote kwa ajili ya chakula peke yake.
Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Abiy Bakr bin Qayyim-il-Jawziyyah (afk. 751)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Waabil as-Swayyib wa Raafi´-ul-Kalim at-Twayyib, uk. 28
Imechapishwa: 03/08/2025
https://firqatunnajia.com/14-chakula-cha-wastani/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket