´Abdur-Razzaaq (1/386) amepokea kutoka kwa ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan bin Yaziyd: Muhammad bin ´Abbaad bin Ja´far amenihadithia, kutoka kwa mzee mmoja katika wao, ambaye amesema:
”Nilimuona Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akiswali akiwa amevaa viatu viwili.”
Akaashiria pahali.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: as-Swalaah fiyn-Ni´aal, uk. 14
- Imechapishwa: 02/06/2025
´Abdur-Razzaaq (1/386) amepokea kutoka kwa ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan bin Yaziyd: Muhammad bin ´Abbaad bin Ja´far amenihadithia, kutoka kwa mzee mmoja katika wao, ambaye amesema:
”Nilimuona Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akiswali akiwa amevaa viatu viwili.”
Akaashiria pahali.
Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: as-Swalaah fiyn-Ni´aal, uk. 14
Imechapishwa: 02/06/2025
https://firqatunnajia.com/13-hadiyth-nilimuona-mtume-wa-allaah/