79- Abu Qataadah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Kitu bora ambacho mtu anaweza kukiacha baada ya kutoweka ni mambo matatu; mtoto mwema mwenye kumuombea du´aa, swadaqah yenye kuendelea ambayo analipwa kwayo na elimu inayotendewa kazi baada yake.”[1]
Ameipokea Ibn Maajah kwa cheni ya wapokezi Swahiyh.
[1] Swahiyh.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/143)
- Imechapishwa: 24/09/2018
- taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
79- Abu Qataadah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Kitu bora ambacho mtu anaweza kukiacha baada ya kutoweka ni mambo matatu; mtoto mwema mwenye kumuombea du´aa, swadaqah yenye kuendelea ambayo analipwa kwayo na elimu inayotendewa kazi baada yake.”[1]
Ameipokea Ibn Maajah kwa cheni ya wapokezi Swahiyh.
[1] Swahiyh.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/143)
Imechapishwa: 24/09/2018
taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/13-hadiyth-kitu-bora-ambacho-mtu-anaweza-kukiacha-baada-ya-kutoweka/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)