127. Kinachosemwa wakati wa kuchinja

  Download

246-

بِسْمِ اللهِ واللهُ أَكْبَرُ [اللَّهُمَّ مِنْكَ ولَكَ] اللَّهُمَّ تَقَبَّلْ مِنِّي

“Kwa jina la Allaah na Allaah ni mkubwa [Ee Allaah! Huyu anatoka Kwako na ni kwa ajili Yako]. Ee Allaah! Nitakabalie.”[1]

[1] Muslim (03/1557), al-Bayhaqiy (09/287) na kilichoko kati ya mabano ni cha al-Bayhaqiy (09/287) na wengineo na sentesi ya mwisho kutoka katika upokezi wa Muslim.

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 09/05/2020