Abu Ja´far at-Twahaawiy (Rahimahu Allaah) amesema:

36 – Ametumilizwa kwa majini na watu wote kwa haki na uongofu, nuru na mwangaza.

MAELEZO

Miongoni mwa mambo ya upotofu ya Qaadiyaaniyyah ni kutoamini uwepo wa majini. Wanazipindisha Aayah na Hadiyth zote zinazotamka waziwazi uwepo wa majini kama mfano wa uwepo wa kundi la watu. Mpaka Ibliys wenyewe wanaona kuwa ni mtu muovu. Ni wapotevu waliyoje!

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah – Sharh wa Ta´liyq, uk. 23-24
  • Imechapishwa: 16/09/2024