291 – Amesimulia tena ya kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
إذا رأيتم من يبيعُ أو يبتاع في المسجد، فقولوا: لا أربح الله تجارتك، وإذا رأيتم من ينشد ضالة، فقولوا: لا ردها الله عليك
“Mkimuona mwenye kununua au kuuza msikitini, basi semeni: “Allaah asiipe faida biashara yako!” Na mkimuona mwenye kumtangaza mnyama wake aliyepotea, basi semeni: “Allaah asikuridhie naye!”[1]
Ameipokea at-Tirmidhiy na akasema:
“Hadiyth ni nzuri na Swahiyh.”
Ameipokea vilevile an-Nasaa’iy, Ibn Khuzaymah na al-Haakim ambaye amesema:
“Ni Swahiyh kwa mujibu wa sharti za Muslim.”
Ibn Hibbaan katika “as-Swahiyh” amepokea Hadiyth nusu ya kwanza mfano wake.
[1] Swahiyh.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/236-237)
- Imechapishwa: 16/11/2022
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)