234-
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alitufu Ka´bah juu ya ngamia. Kila alipokuwa anakifikia kiguzo basi anaashiria kwa kitu alichonacho na akisema:
اللهُ أكْبَر
“Allaah ni mkubwa.”[1]
[1] al-Bukhaariy pamoja na al-Fath (03/476). Makusudio ya kitu ni “bakora”. Tazama ”al-Bukhaariy pamoja na al-Fath” (03/472).
- Muhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Huswn-ul-Muslim
- Imechapishwa: 08/05/2020