119 – Nimemsikia Qaadhiy na Imaam Taj-ud-Diyn ´Abdul-Khaaliq bin ´Ulwaan akisema: ”Nimemsikia Imaam Abu Muhammad ´Abdullaah bin Ahmad al-Maqdisiy (Rahimahu Allaah), mtunzi wa ”al-Muqniy´”, akisema: Nimefikiwa na khabari kwamba Abu Haniyfah (Rahimahu Allaah) amesema:
”Yeyote mwenye kukanusha kwamba Allaah (´Azza wa Jall) yuko juu ya mbingu amekufuru.”
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-´Uluww lil-´Aliy al-Ghaffaar, uk. 136
- Imechapishwa: 14/07/2024
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
119 – Nimemsikia Qaadhiy na Imaam Taj-ud-Diyn ´Abdul-Khaaliq bin ´Ulwaan akisema: ”Nimemsikia Imaam Abu Muhammad ´Abdullaah bin Ahmad al-Maqdisiy (Rahimahu Allaah), mtunzi wa ”al-Muqniy´”, akisema: Nimefikiwa na khabari kwamba Abu Haniyfah (Rahimahu Allaah) amesema:
”Yeyote mwenye kukanusha kwamba Allaah (´Azza wa Jall) yuko juu ya mbingu amekufuru.”
Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-´Uluww lil-´Aliy al-Ghaffaar, uk. 136
Imechapishwa: 14/07/2024
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/111-yeyote-mwenye-kukanusha-kwamba-allaah-yuko-juu-ya-mbingu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)