11- Wanaonyesha ghera juu ya Shari´ah ya Kiislamu na chuki dhidi ya uanasekula na mfano wa hayo. Wakati huo huo kundi hili linafanya matendo ya kisiri na mienendo mibaya inayopingana na yale wanayoyasema, wanayoyafanya na kulingania kwayo[1].
[1] Imaam Swaalih al-Fawzaan amesema:
“Kijitabu hichi kilichoko mbele yetu kimeandikwa na ndugu yetu Shaykh Zayd bin Muhammad bin Haadiy al-Madkhaliy. Kinatahadharisha mifumo hii, kinabainisha athari zake mbaya na kinahimiza kushikamana barabara na mfumo wa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Allaah amjaze kheri na anufaishe kwa nasaha na maelekezo yake.” (Asbaab Istiqaamat-ish-Shabaab wa Bawaa´ith Inhiraafihim, uk. 7)
- Muhusika: ´Allaamah Zayd bin Muhammad al-Madkhaliy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Asbaab Istiqaamat-ish-Shabaab wa Bawaa´ith Inhiraafihim, uk. 20
- Imechapishwa: 25/03/2017
11- Wanaonyesha ghera juu ya Shari´ah ya Kiislamu na chuki dhidi ya uanasekula na mfano wa hayo. Wakati huo huo kundi hili linafanya matendo ya kisiri na mienendo mibaya inayopingana na yale wanayoyasema, wanayoyafanya na kulingania kwayo[1].
[1] Imaam Swaalih al-Fawzaan amesema:
“Kijitabu hichi kilichoko mbele yetu kimeandikwa na ndugu yetu Shaykh Zayd bin Muhammad bin Haadiy al-Madkhaliy. Kinatahadharisha mifumo hii, kinabainisha athari zake mbaya na kinahimiza kushikamana barabara na mfumo wa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Allaah amjaze kheri na anufaishe kwa nasaha na maelekezo yake.” (Asbaab Istiqaamat-ish-Shabaab wa Bawaa´ith Inhiraafihim, uk. 7)
Muhusika: ´Allaamah Zayd bin Muhammad al-Madkhaliy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Asbaab Istiqaamat-ish-Shabaab wa Bawaa´ith Inhiraafihim, uk. 20
Imechapishwa: 25/03/2017
https://firqatunnajia.com/11-wanaonyesha-hiki-na-kuficha-kingine/