Swali 11: Shrki ni nini na imegawanyika aina ngapi?
Jibu: Kuna sampuli mbili za shirki:
1- Shirki katika uola. Ina maana ya mtu kuamini kuwa Allaah yuko na mshirika katika kuumba au kuendesha baadhi ya viumbe.
2- Shirki katika ´ibaadah. Shirki hii imegawanyika katika shirki kubwa na shirki ndogo.
Shirki kubwa maana yake ni mtu kumtekelezea aina moja miongoni kwa aina za ´ibaadah akamtekelezea asiyekuwa Allaah. Kwa mfano mtu akamuomba mwengine asiyekuwa Allaah, akamtarajia au akamuogopa. Hili linamtoa mtu katika dini na linamfanya mwenye nayo kudumishwa Motoni milele.
Kuhusiana na shirki ndogo, ni sababu na njia inayopelekea katika shirki ambayo sio ´ibaadah. Mfano wa hilo ni kama kuapa kwa asiyekuwa Allaah, kujionyesha na mfano wa hayo.
- Mhusika: Imaam ´Abdur-Rahmaan bin Naaswir as-Sa´diy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ahamm-ul-Muhimmaat, uk. 61
- Imechapishwa: 25/03/2017
Swali 11: Shrki ni nini na imegawanyika aina ngapi?
Jibu: Kuna sampuli mbili za shirki:
1- Shirki katika uola. Ina maana ya mtu kuamini kuwa Allaah yuko na mshirika katika kuumba au kuendesha baadhi ya viumbe.
2- Shirki katika ´ibaadah. Shirki hii imegawanyika katika shirki kubwa na shirki ndogo.
Shirki kubwa maana yake ni mtu kumtekelezea aina moja miongoni kwa aina za ´ibaadah akamtekelezea asiyekuwa Allaah. Kwa mfano mtu akamuomba mwengine asiyekuwa Allaah, akamtarajia au akamuogopa. Hili linamtoa mtu katika dini na linamfanya mwenye nayo kudumishwa Motoni milele.
Kuhusiana na shirki ndogo, ni sababu na njia inayopelekea katika shirki ambayo sio ´ibaadah. Mfano wa hilo ni kama kuapa kwa asiyekuwa Allaah, kujionyesha na mfano wa hayo.
Mhusika: Imaam ´Abdur-Rahmaan bin Naaswir as-Sa´diy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ahamm-ul-Muhimmaat, uk. 61
Imechapishwa: 25/03/2017
https://firqatunnajia.com/11-shirki-ni-kitu-gani-na-ni-zipi-aina-zake/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)