10- Anas (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Allaah aliumba mabustani ya Edeni na akapanda miti yake kwa mkono Wake. Kisha akaiambia: “Zungumza!” Ikasema
قَدْ أَفْلَحَ الْمُؤْمِنُونَ
“Hakika wamefaulu waumini.“[1][2]
Ni Swahiyh.
[1] 23:01
[2] al-Bayhaqiy katika ”al-Asmaa’ was-Swifaat” (2/124).
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 19
- Imechapishwa: 18/06/2019
10- Anas (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Allaah aliumba mabustani ya Edeni na akapanda miti yake kwa mkono Wake. Kisha akaiambia: “Zungumza!” Ikasema
قَدْ أَفْلَحَ الْمُؤْمِنُونَ
“Hakika wamefaulu waumini.“[1][2]
Ni Swahiyh.
[1] 23:01
[2] al-Bayhaqiy katika ”al-Asmaa’ was-Swifaat” (2/124).
Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 19
Imechapishwa: 18/06/2019
https://firqatunnajia.com/11-dalili-ya-kumi-kutoka-katika-sunnah-juu-ya-mikono-ya-allaah/