109. Namna ya kuitikia salamu ya kafiri anapokusalimia

  Download

227-

“Ahl-ul-Kitaab wanapokutoleeni salamu, basi semeni:

وَعَلَيْكُمْ

“Na juu yenu pia.”[1]

[1] al-Bukhaariy pamoja na al-Fath (11/42).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 06/05/2020