104. Du´aa ya msafiri anapotua mahali safarini au kwenginepo

216-

أَعـوذُ بِكَلِـماتِ اللّهِ التّـامّاتِ مِنْ شَـرِّ ما خَلَـق

”Najilinda kwa maneno ya Allaah yaliyotimia kutokamana na shari alichokiumba.”[1]

[1] Muslim (04/2080).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 05/05/2020