214-
Jaabir (Radhiya Allaahu ´anh) amesema:
“Tulikuwa tukipanda mahali husema:
اللهُ أَكْـبَر
“Allaah ni mkubwa.”
Tunaposhuka mahali husema:
سُبْـحانَ الله
“Allaah ametakasika kutokamana na mapungufu.”[1]
[1] al-Bukhaariy pamoja na al-Fath (06/135).
- Muhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Huswn-ul-Muslim
- Imechapishwa: 05/05/2020