4 – Kusherehekea mazazi ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni kitu kilichozua mfalme mwadilifu na msomi ambaye lengo lake lilikuwa ni kujikurubisha kwa Allaah. Tunajibu hilo kwa kusema kwamba Bid´ah haikubaliwi kutoka kwa mtu yoyote. Malengo mazuri hayafanyi kitendo kiovu kuwa kizuri. Kuwa kwake msomi na mwadilifu haina maana kuwa amekingwa na kukosea.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Huquwq-un-Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) bayn al-Ijlaal wal-Ikhlaal, uk. 153
- Imechapishwa: 06/09/2025
4 – Kusherehekea mazazi ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni kitu kilichozua mfalme mwadilifu na msomi ambaye lengo lake lilikuwa ni kujikurubisha kwa Allaah. Tunajibu hilo kwa kusema kwamba Bid´ah haikubaliwi kutoka kwa mtu yoyote. Malengo mazuri hayafanyi kitendo kiovu kuwa kizuri. Kuwa kwake msomi na mwadilifu haina maana kuwa amekingwa na kukosea.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Huquwq-un-Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) bayn al-Ijlaal wal-Ikhlaal, uk. 153
Imechapishwa: 06/09/2025
https://firqatunnajia.com/10-maulidi-yalianzisha-mfalme-mwema/