733- Ibn ´Abbaas (Radhiya Allaahu ´anhumaa) amesema:
“Yule mwenye kuacha swalah za ijumaa tatu mfululizo basi hakika ameutupa Uislamu nyuma ya mgongo wake.”[1]
Ameipokea Abu Ya´laa kutoka kutoka kwake kwa cheni ya wapokezi Swahiyh.
[1] Swahiyh.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/453)
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
733- Ibn ´Abbaas (Radhiya Allaahu ´anhumaa) amesema:
“Yule mwenye kuacha swalah za ijumaa tatu mfululizo basi hakika ameutupa Uislamu nyuma ya mgongo wake.”[1]
Ameipokea Abu Ya´laa kutoka kutoka kwake kwa cheni ya wapokezi Swahiyh.
[1] Swahiyh.
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/453)
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/10-hadiyth-yule-mwenye-kuacha-swalah-za-ijumaa-tatu-mfululizo/