390 – Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza:

“Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipita karibu na kaburi akasema: “Ni nani mwenye kaburi hili?” Wakasema: “Ni fulani.” Ndipo akasema:

ركعتان أحبُّ إلى هذا من بقيّةِ دنياكم

“Rak´ah mbili zinapendeza kwa huyu kuliko ulimwengu wenu wote.”[1]

Ameipokea at-Twabaraaniy katika “al-Mu´jam al-Awsatw” kwa cheni ya wapokezi nzuri.

[1] Nzuri na Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/280)
  • Imechapishwa: 29/11/2023
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy