Swali 8: Punde kidogo kabla ya kuzama kwa jua mwanamke akihisi kutokwa damu au akahisi maumivu ya adabu ya mwezi inasihi swawm yake ya siku hiyo au ni lazima kuilipa siku hiyo?
Jibu: Mwanamke ambaye ni msafi akihisi kuzunguka kwa hedhi wakati amefunga lakini hata hivyo damu hiyo ikatoka baada ya kuzama kwa jua au akahisi maumivu ya hedhi lakini ikatoka baada ya kuzama kwa jua, basi funga ya siku yake hiyo ni sahihi. Si lazima ailipe ikiwa ni funga ya lazima. Thawabu hazibatiliki ikiwa ni funga ya sunnah.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: 60 su-aal wa jawaab fiy Ahkaam-il-Haydhw, uk. 12
- Imechapishwa: 13/06/2021
Swali 8: Punde kidogo kabla ya kuzama kwa jua mwanamke akihisi kutokwa damu au akahisi maumivu ya adabu ya mwezi inasihi swawm yake ya siku hiyo au ni lazima kuilipa siku hiyo?
Jibu: Mwanamke ambaye ni msafi akihisi kuzunguka kwa hedhi wakati amefunga lakini hata hivyo damu hiyo ikatoka baada ya kuzama kwa jua au akahisi maumivu ya hedhi lakini ikatoka baada ya kuzama kwa jua, basi funga ya siku yake hiyo ni sahihi. Si lazima ailipe ikiwa ni funga ya lazima. Thawabu hazibatiliki ikiwa ni funga ya sunnah.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: 60 su-aal wa jawaab fiy Ahkaam-il-Haydhw, uk. 12
Imechapishwa: 13/06/2021
https://firqatunnajia.com/08-maumivu-na-kuzunguka-kwa-hedhi-punde-kidogo-kabla-ya-kuzama-kwa-jua/