239 – ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) ameeleza ya kuwa amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
الإمامُ ضامنٌ، والمؤذن مُؤتَمنٌ، فأرْشَدَ الله الأئمةَ، وعَفَا عن المؤذنين
“Imamu ni mdhamini na muadhini ameaminiwa. Ee Allaah! Waongoze maimamu na wasamehe waadhini.”[1]
[1] Swahiyh.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/215)
- Imechapishwa: 23/02/2022
- taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
239 – ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) ameeleza ya kuwa amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
الإمامُ ضامنٌ، والمؤذن مُؤتَمنٌ، فأرْشَدَ الله الأئمةَ، وعَفَا عن المؤذنين
“Imamu ni mdhamini na muadhini ameaminiwa. Ee Allaah! Waongoze maimamu na wasamehe waadhini.”[1]
[1] Swahiyh.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/215)
Imechapishwa: 23/02/2022
taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/08-hadiyth-ya-imamu-ni-mdhamini-na-muadhini-ameaminiwa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)