Ahmad (4/307) amesema: Sufyaan ametuhadithia, kutoka kwa as-Suddiy, kutoka kwa bwana mmoja aliyemsikia ´Amr bin Hurayth akisema:
”Nilimuona Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akiswali akiwa na viatu vilivyotengenezwa kwa ngozi.”[1]
Imekuja katika tamko jengine:
”Nilimuona Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akiswali akiwa na viatu vilivyoshonwa.”

Ameipokea at-Tirmidhiy katika “ash-Shamaa’il”, uk. 62, ´Abdur-Razzaaq (1/386), Ibn Abiy Shaybah (2/415), Ibn Sa´d (1/167 – mswada) na at-Twahaawiy (1/512). Katika cheni ya wapokezi kuna msimulizi asiyetambulika.
Mfafanuzi wa ”ash-Shamaa´il” ameandika kwamba al-Qatswalaaniy amesema:
“Sijawahi kuona jina la mtu aliyesimulia kutoka kwa as-Suddiy[2] likitajwa wazi. Nadhani alikuwa ni ‘Atwaa´ bin as-Saa’ib, ambaye alichanganyikiwa mwishoni mwa maisha yake. as-Suddiy alisikia kutoka kwake baada ya kuchanganyikiwa. Kwa hivyo akamtaja bila kujulikana ili asije kufichukuliwa.”
[1] Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Mukhtaswar-ush-Shamaa’il al-Muhammadiyyah” (65).
[2] Huyu ni yule as-Suddiy Mkubwa, Ismaa´iyl bin ´Abdir-Rahmaan, mmoja katika wasimulizi wa Muslim. as-Suddiy ni mjukuu wa Ismaa’iyl na anaitwa Muhammad bin Marwaan. Yeye ndiye anayetuhumiwa, kama ilivyo katika “at-Taqriyb”.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: as-Swalaah fiyn-Ni´aal, uk. 11
- Imechapishwa: 01/06/2025
Ahmad (4/307) amesema: Sufyaan ametuhadithia, kutoka kwa as-Suddiy, kutoka kwa bwana mmoja aliyemsikia ´Amr bin Hurayth akisema:
”Nilimuona Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akiswali akiwa na viatu vilivyotengenezwa kwa ngozi.”[1]
Imekuja katika tamko jengine:
”Nilimuona Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akiswali akiwa na viatu vilivyoshonwa.”
Imekuja katika tamko jengine:
”Nilimuona Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akiswali akiwa na viatu vilivyoshonwa.”
Ameipokea at-Tirmidhiy katika “ash-Shamaa’il”, uk. 62, ´Abdur-Razzaaq (1/386), Ibn Abiy Shaybah (2/415), Ibn Sa´d (1/167 – mswada) na at-Twahaawiy (1/512). Katika cheni ya wapokezi kuna msimulizi asiyetambulika.
Mfafanuzi wa ”ash-Shamaa´il” ameandika kwamba al-Qatswalaaniy amesema:
“Sijawahi kuona jina la mtu aliyesimulia kutoka kwa as-Suddiy[2] likitajwa wazi. Nadhani alikuwa ni ‘Atwaa´ bin as-Saa’ib, ambaye alichanganyikiwa mwishoni mwa maisha yake. as-Suddiy alisikia kutoka kwake baada ya kuchanganyikiwa. Kwa hivyo akamtaja bila kujulikana ili asije kufichukuliwa.”
[1] Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Mukhtaswar-ush-Shamaa’il al-Muhammadiyyah” (65).
[2] Huyu ni yule as-Suddiy Mkubwa, Ismaa´iyl bin ´Abdir-Rahmaan, mmoja katika wasimulizi wa Muslim. as-Suddiy ni mjukuu wa Ismaa’iyl na anaitwa Muhammad bin Marwaan. Yeye ndiye anayetuhumiwa, kama ilivyo katika “at-Taqriyb”.
Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: as-Swalaah fiyn-Ni´aal, uk. 11
Imechapishwa: 01/06/2025
https://firqatunnajia.com/08-hadiyth-nilimuona-mtume-wa-allaah-akiswali-akiwa-na-viatu/