130- Imepokelewa kutoka kwa Abu Barzah (Radhiya Allaahu ´anh) ambaye amesimulia kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mfano wa ambaye anawafunza watu kheri na akaisahau nafsi yake mwenyewe ni kama mfano wa mshumaa; unawaangazia wengine na unajichoma wenyewe.”[1]
Ameipokea al-Bazzaar.
[1] Swahiyh kupitia zengine.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/164)
- Imechapishwa: 05/05/2020
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
130- Imepokelewa kutoka kwa Abu Barzah (Radhiya Allaahu ´anh) ambaye amesimulia kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mfano wa ambaye anawafunza watu kheri na akaisahau nafsi yake mwenyewe ni kama mfano wa mshumaa; unawaangazia wengine na unajichoma wenyewe.”[1]
Ameipokea al-Bazzaar.
[1] Swahiyh kupitia zengine.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/164)
Imechapishwa: 05/05/2020
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/08-hadiyth-mfano-wa-ambaye-anawafunza-watu-kheri/