56- ´Abdullaah bin ´Amr (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Kila kitendo kina shauku na kila shauku ina muda wake. Yule ambaye shauku yake imeafikiana na Sunnah yangu basi ameongozwa na yule ambaye shauku yake ni kinyume na hivo basi ameangamia.”[1]
Ameipokea Ibn Abiy ´Aaswim na Ibn Hibbaan katika ”as-Swahiyh”.
[1] Swahiyh.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/131)
- Imechapishwa: 27/04/2020
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
56- ´Abdullaah bin ´Amr (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Kila kitendo kina shauku na kila shauku ina muda wake. Yule ambaye shauku yake imeafikiana na Sunnah yangu basi ameongozwa na yule ambaye shauku yake ni kinyume na hivo basi ameangamia.”[1]
Ameipokea Ibn Abiy ´Aaswim na Ibn Hibbaan katika ”as-Swahiyh”.
[1] Swahiyh.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/131)
Imechapishwa: 27/04/2020
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/08-hadiyth-kila-kitendo-kina-shauku-na-kila-shauku/