Navyo ni saba:
1 – Kitu kinachotoka katika njia mbili za haja.
2 – Kitu najisi kinachotoka sehemu nyingine zisizokuwa njia mbili za haja, ikiwa ni kingi.
3 – Kupoteza akili, isipokuwa usingizi mwepesi akiwa amekaa au amesimama.
4 – Kugusa uume kwa mkono wake.
5 – Kumgusa mwanamke kwa matamanio.
6 – Kuritadi kutoka katika Uislamu.
7 – Kula nyama ya ngamia. Hilo ni kutokana na yale yaliyopokelewa kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipoulizwa:
“Je, tutadhe kutokana na nyama ya ngamia?” Akasema: “Ndiyo, tawadheni kutokana nayo.” Akaulizwa: “Je, tutawadhe kutokana na nyama ya kondoo?” Akasema: “Ukitaka tawadha na ukitaka usitawadhe.”[1]
Mwenye kuwa na yakini ya twahara kisha akawa na shaka kuhusu kutokea kwa hadathi, au akiwa na yakini ya kutokea kwa hadathi kisha akawa na shaka juu ya twahara, basi anabaki katika hali ambayo ana yakini nayo kati ya hizo mbili.
[1] Muslim (360).
- Muhusika: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy (afk. 620)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ´Umdat-ul-Fiqh, uk. 16-17
- Imechapishwa: 03/10/2026
Navyo ni saba:
1 – Kitu kinachotoka katika njia mbili za haja.
2 – Kitu najisi kinachotoka sehemu nyingine zisizokuwa njia mbili za haja, ikiwa ni kingi.
3 – Kupoteza akili, isipokuwa usingizi mwepesi akiwa amekaa au amesimama.
4 – Kugusa uume kwa mkono wake.
5 – Kumgusa mwanamke kwa matamanio.
6 – Kuritadi kutoka katika Uislamu.
7 – Kula nyama ya ngamia. Hilo ni kutokana na yale yaliyopokelewa kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipoulizwa:
“Je, tutadhe kutokana na nyama ya ngamia?” Akasema: “Ndiyo, tawadheni kutokana nayo.” Akaulizwa: “Je, tutawadhe kutokana na nyama ya kondoo?” Akasema: “Ukitaka tawadha na ukitaka usitawadhe.”[1]
Mwenye kuwa na yakini ya twahara kisha akawa na shaka kuhusu kutokea kwa hadathi, au akiwa na yakini ya kutokea kwa hadathi kisha akawa na shaka juu ya twahara, basi anabaki katika hali ambayo ana yakini nayo kati ya hizo mbili.
[1] Muslim (360).
Muhusika: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy (afk. 620)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: ´Umdat-ul-Fiqh, uk. 16-17
Imechapishwa: 03/10/2026
https://firqatunnajia.com/07-vichenguzi-vya-wudhuu/