14 – Samurah bin Jundub (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Maneno yanayopendeza zaidi kwa Allaah ni manne:
سبحان الله، والحمدلله، ولا إله إلا الله، والله أكبر
“Allaah ametakasika kutokamana, mapungufu na himdi zote ni Zake, hapana mungu wa haki isipokuwa Allaah, Allaah ni mkubwa”. Haikudhuru umeanza kwa ipi.”[1]
Ameipokea Muslim.
MAELEZO
Haya ndio maneno yanayopendeza zaidi kwa Allaah. Kinachomaanishwa ni kwamba yanayopendeza zaidi baada ya maneno ya Allaah. Maneno ya Allaah ndio yanayopendeza zaidi na bora zaidi. Imekuja katika upokezi mwingine:
“Nayo yanatokamana na Qur-aan.”
[1] Muslim (720).
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Ad´iyah wal-Adhkaar, uk. 21-22
- Imechapishwa: 29/09/2025
14 – Samurah bin Jundub (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Maneno yanayopendeza zaidi kwa Allaah ni manne:
سبحان الله، والحمدلله، ولا إله إلا الله، والله أكبر
“Allaah ametakasika kutokamana, mapungufu na himdi zote ni Zake, hapana mungu wa haki isipokuwa Allaah, Allaah ni mkubwa”. Haikudhuru umeanza kwa ipi.”[1]
Ameipokea Muslim.
MAELEZO
Haya ndio maneno yanayopendeza zaidi kwa Allaah. Kinachomaanishwa ni kwamba yanayopendeza zaidi baada ya maneno ya Allaah. Maneno ya Allaah ndio yanayopendeza zaidi na bora zaidi. Imekuja katika upokezi mwingine:
“Nayo yanatokamana na Qur-aan.”
[1] Muslim (720).
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Ad´iyah wal-Adhkaar, uk. 21-22
Imechapishwa: 29/09/2025
https://firqatunnajia.com/07-maneno-manne-yanayopendeza-zaidi-kwa-allaah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket