256 – ´Abdullaah bin ´Amr (Radhiya Allaahu ´anhumaa) amesema:
:أنّ رجلاً قال: يا رسولَ الله! إن المؤذّنين يَفْضُلونَنَا. فقال رسول الله – صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ
.”قلْ كما يقولون، فإذا انتهيتَ فَسَلْ؛ تُعطَه”
“Kuna bwana mmoja alisema: “Ee Mtume wa Allaah! Hakika waadhini wanatushinda.” Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akasema: “Semeni kama wanavosema. Unapomaliza basi omba utapewa.”[1]
Ameipokea Abu Daawuud, an-Nasaa’iy na Ibn Hibbaan katika ”as-Swahiyh”.
[1] Nzuri na Swahiyh.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/222)
- Imechapishwa: 07/03/2022
- taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
256 – ´Abdullaah bin ´Amr (Radhiya Allaahu ´anhumaa) amesema:
:أنّ رجلاً قال: يا رسولَ الله! إن المؤذّنين يَفْضُلونَنَا. فقال رسول الله – صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ
.”قلْ كما يقولون، فإذا انتهيتَ فَسَلْ؛ تُعطَه”
“Kuna bwana mmoja alisema: “Ee Mtume wa Allaah! Hakika waadhini wanatushinda.” Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akasema: “Semeni kama wanavosema. Unapomaliza basi omba utapewa.”[1]
Ameipokea Abu Daawuud, an-Nasaa’iy na Ibn Hibbaan katika ”as-Swahiyh”.
[1] Nzuri na Swahiyh.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/222)
Imechapishwa: 07/03/2022
taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/07-hadiyth-hakika-waadhini-wanatushinda/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)