´Abdullaah bin ´Umar (Radhiya Allahau ´anhumaa) ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Uislamu umejengeka juu ya [mambo] matano: Kushuhudia ya kuwa hakuna mungu wa haki isipokuwa Allaah na kwamba Muhammad ni Mtume wa Allaah, kusimamisha swalah, kutoa zakaah, kufunga Ramadhaan na kuhiji Nyumba ya Allaah.” al-Bukhaariy (08) na Muslim (12)
- Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Qawl al-Mufiyd fiy Adillat-it-Tawhiyd
- Imechapishwa: 05/08/2020
´Abdullaah bin ´Umar (Radhiya Allahau ´anhumaa) ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Uislamu umejengeka juu ya [mambo] matano: Kushuhudia ya kuwa hakuna mungu wa haki isipokuwa Allaah na kwamba Muhammad ni Mtume wa Allaah, kusimamisha swalah, kutoa zakaah, kufunga Ramadhaan na kuhiji Nyumba ya Allaah.” al-Bukhaariy (08) na Muslim (12)
Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Qawl al-Mufiyd fiy Adillat-it-Tawhiyd
Imechapishwa: 05/08/2020
https://firqatunnajia.com/06-nguzo-za-uislamu-ni-tano/