13 – Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Kusema kwangu:
سُبْحَانَ اللهِ، وَالْحَمْدُ لِلَّهِ، وَلَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ
“Allaah ametakasika kutokamana na mapungufu na himdi zote ni Zake na hapana mwabudiwa wa haki isipokuwa Allaah.”,
kunapendeza zaidi kwangu kuliko yale yote yaliyochomozewa na jua.”[1]
Ameipokea Muslim.
MAELEZO
Dhikr hii inapendeza zaidi kuliko dunia na vyote vilivyomo ndani yake, kwa sababu kinachochomozewa na jua ni ulimwengu mzima. Maneno haya ni bora kwa msemaji wake kuliko ulimwengu na vyote vilivyomo ndani yake. Kwani dunia ni yenye kubaki na malipo ya maneno haya ni yenye kubaki.
[1] Muslim (2695).
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Ad´iyah wal-Adhkaar, uk. 21
- Imechapishwa: 28/09/2025
13 – Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Kusema kwangu:
سُبْحَانَ اللهِ، وَالْحَمْدُ لِلَّهِ، وَلَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ
“Allaah ametakasika kutokamana na mapungufu na himdi zote ni Zake na hapana mwabudiwa wa haki isipokuwa Allaah.”,
kunapendeza zaidi kwangu kuliko yale yote yaliyochomozewa na jua.”[1]
Ameipokea Muslim.
MAELEZO
Dhikr hii inapendeza zaidi kuliko dunia na vyote vilivyomo ndani yake, kwa sababu kinachochomozewa na jua ni ulimwengu mzima. Maneno haya ni bora kwa msemaji wake kuliko ulimwengu na vyote vilivyomo ndani yake. Kwani dunia ni yenye kubaki na malipo ya maneno haya ni yenye kubaki.
[1] Muslim (2695).
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Ad´iyah wal-Adhkaar, uk. 21
Imechapishwa: 28/09/2025
https://firqatunnajia.com/06-maneno-ambayo-ni-bora-kuliko-ulimwengu-mzima-na-vilivyomo-ndani-yake/