10 – Ahmad bin Ibraahiym bin Muhammad al-Warraaq ametukhabarisha: ´Abdullaah bin Yahyaa ametuhadithia: al-Maqdamiy ametuhadithia: Ash´ath bin ´Abdillaah al-Khuraasaaniy ametuhadithia: Shu´bah ametuhadithia, kutoka kwa Qataadah, kutoka kwa Anas, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema:
”Kutatupwa ndani ya Moto na huku ukisema: ”Je, kuna zaidi?” mpaka pale Atapoweka unyayo Wake au mguu Wake juu yake, ambapo useme: ”Tosha, tosha.”
al-Qawaariyriy ameipokea kutoka kwa Haramiy bin ´Amaarah, kutoka kwa Shu´bah, kutoka kwa Qataadah, kutoka kwa Anas, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema:
”Ataweka mguu Wake juu yake, ambapo useme: ”Tosha, tosha.”
Hadiyth hii ni yenye kuthibiti kwa maafikiano.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Ishaaq bin Mandah (afk. 395)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 42
- Imechapishwa: 08/06/2026
10 – Ahmad bin Ibraahiym bin Muhammad al-Warraaq ametukhabarisha: ´Abdullaah bin Yahyaa ametuhadithia: al-Maqdamiy ametuhadithia: Ash´ath bin ´Abdillaah al-Khuraasaaniy ametuhadithia: Shu´bah ametuhadithia, kutoka kwa Qataadah, kutoka kwa Anas, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema:
”Kutatupwa ndani ya Moto na huku ukisema: ”Je, kuna zaidi?” mpaka pale Atapoweka unyayo Wake au mguu Wake juu yake, ambapo useme: ”Tosha, tosha.”
al-Qawaariyriy ameipokea kutoka kwa Haramiy bin ´Amaarah, kutoka kwa Shu´bah, kutoka kwa Qataadah, kutoka kwa Anas, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema:
”Ataweka mguu Wake juu yake, ambapo useme: ”Tosha, tosha.”
Hadiyth hii ni yenye kuthibiti kwa maafikiano.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Ishaaq bin Mandah (afk. 395)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 42
Imechapishwa: 08/06/2026
https://firqatunnajia.com/04-hapa-ndipo-moto-utatosheka/