115- Abu Mas´uud al-Badriy amesema:
“Bwana mmoja alimjia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akimuomba mnyama wa kupanda ambapo akasema: “Nimemchosha.” Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akasema: “Mwendee fulani.” Bwana yule akamwendea na akapata kipando. Ndipo Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akasema: “Yeyote atakayeelekeza kheri basi ana mfano wa ujira wa yule mwenye kuifanya.”[1]
Ameipokea Muslim, Abu Daawuud na at-Tirmidhiy[2].
[1] Swahiyh.
[2] Tamko ni lake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/157)
- Imechapishwa: 03/05/2020
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
115- Abu Mas´uud al-Badriy amesema:
“Bwana mmoja alimjia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akimuomba mnyama wa kupanda ambapo akasema: “Nimemchosha.” Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akasema: “Mwendee fulani.” Bwana yule akamwendea na akapata kipando. Ndipo Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akasema: “Yeyote atakayeelekeza kheri basi ana mfano wa ujira wa yule mwenye kuifanya.”[1]
Ameipokea Muslim, Abu Daawuud na at-Tirmidhiy[2].
[1] Swahiyh.
[2] Tamko ni lake.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/157)
Imechapishwa: 03/05/2020
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/04-hadiyth-yeyote-atakayeelekeza-kheri/